
UONGOZI BORA UNAANZIA KWENYE FAMILIA
PICHANI juu ni Waziri wa Kilimo,Mifugo chakula na ushirika Mhe Mwigulu Nnchemba akiwa katika picha ya pamoja na familia yake yenye watoto watatu na mke mmoja.
Kivutio zaidi ni jukumu alillojipa Mhe Mwigulu la kumbeba mtoto wake mdogo ili hali mke wake angeweza kufanya jambo hilo
.
Picha nyingine inamuonyesha Mhe Mwigulu akiwa anamvalisha mtoto wake mdogo nepi
,jambo ambalo ni nadra sana kuliona kwa waheshimiwa wengine
0 comments:
Post a Comment