Staki Kazi - Nikki wa II Ft. G Nako & Ben Pol (May 13)


Mzigo mwengine huu hapa kutoka kwa Nikki wa II kutoka kwenye kundi la Weusi, na sasa anasema "Staki Kazi" ndani yake kuna vionjo vya RnB akiwa amemshirikisha Ben Pol pamoja na G-Nako huku ngoma ikiwa imetengenezwa na Nahreel. So fanya kama unahesabu siku chache zijazo mpaka trehe 13 mwezi huu mzigo utadondoka HAPA na utaweza kusikiliza mdundo huu.
Tu Follow Instagram @hassbabytz
Facebook - Hassbabytz
Share on Google Plus
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.