Mwanamuziki Linex.
Juzikati zilivuja picha zikimuonesha Mwanamuziki Linex akiwa kama vile amefunga ndoa na bonge la msichana.
Picha hizo ziliwafanya watu kuhisi aidha jamaa ana ngoma anaifanyia kichupa au amefunga ndoa kwa siri.
Cha kushangaza alipopigiwa simu na paparazi wetu, mara aseme ni kweli ameoa, mara aseme hayo ni mambo yake binafsi ambayo hapendi kuyaanika.

0 comments:
Post a Comment