Msanii wa vichekesho, Musa Kitele
KATIKA kolamu hii tunayowaletea wasanii mbalimbali wa filamu,
leo hii tunaye msanii wa vichekesho, Musa Kitele ambaye amefunguka kama ifuatavyo kutokana na maswali aliyoulizwa katika kolamu hii wiki iliyopita.
Msomaji: Habari yako kaka Kitale, navutiwa sana na uimbaji wako lakini mbona upo kimya kwenye fani ya muziki sikusikii kabisa au umeamua kuacha?
Kitale: Siyo kwamba nimeacha muziki tegemea makubwa zaidi,
kwa sababu nina vipaji vingi inategemea akili yangu inavyonituma kwa kila ninachotaka kukifanya.

0 comments:
Post a Comment