HIVI NDIVYO ALIVYOJIPANGA ROSE NDAUKA 2016, NI SHIDA Kaka Jambazi - 7:00 AM Edit Licha ya kuja na Magazine Rose Ndauka ameeleza kuwa kwa sasa anamiliki wasanii wa Filamu na Bongo Fleva ambao tayari wamekwisha fanya kazi ambazo anaimani zitawakata kiu mashabiki wake, baada ya kimya cha muda mrefu. Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment