Baada ya Katumbi kugoma Kumuuza Samatta Ubelgiji, Huenda Akabaki TP Mazembe,haya ndio aliyasema samatta hadharani

Samatta hivi karibuni akikabidhi jezi yake kwa rais Mstaafu, Dk Jakaya Kikwete wakati Waziri wa Habari, Vijana, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Mh. Nape Nnauye akishuhudia tukio hilo. 
Nantes ilionesha nia ya dhati kabisa ya kumchukua Samatta na Kisongo aliinuka kwenye meza ya mazungumzo akiwa amekubali na kusema anakwenda kuzungumza na mchezaji.  Hata hivyo, inaonekana Samatta mwenyewe ndiye anayetaka kwenda Ubelgiji na si Ufaransa, kwani kitendo cha Kisongo kutorejesha majibu kwa Nantes kinaashiria ameshindwa kumshawishi mchezaji wake akubali ofa hiyo.
Share on Google Plus
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.