JK ampongeza Samatta kwa Tuzo ya Afrika
Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu, Kikwete akizungumza na kumpongeza Nyota wa Soka Tanzania,
aliyeshinda Tuzo ya mwanasoka Bora wa Afrika kwa Wachezaji wa ndani, Mbwana Samatta (kushoto), alipozungumza na waandishi wa habari baada ya kutana na mchezaji huyo leo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam,
kwa ajili ya kumpongeza kufuatia kutwaa tuzo hiyo. Kulia ni Waziri Nape.

0 comments:
Post a Comment