Mjue aliyemtungia Yemi Alade wimbo kwa Kiswahili

KAMA ulikuwa hujui hii inakuhusu! Staa wa muziki anayekimbiza Nigeria, Yemi Alade amemuanika aliyefanikisha Wimbo wake wa No Gode kuimbwa kwa Kiswahili.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Yemi alimuweka wazi mtu huyo kuwa ni kiongozi wa kundi la Sauti Sol linalobamba Afrika Mashariki aitwaye Bien Baraza.
“Asante kwa kupoteza muda wako na kutafsiri wimbo wangu wa No Gode kutoka Kiingereza na kuuweka kwa Kiswahili. Nakupenda sana!”
Share on Google Plus
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.