Manager Maneno atoa wazo kuhusiana na Muziki wa nyumbani



Haya ni mawazo kutoka kwa Manager Maneno mmoja kati ya wadau wa muziki wa Bongo Fleva,  Maneno amesema haya nanukuu
"Nimeona ni vyema nikikuhusisha nawe kwenye haya mawazo yangu..radio na vyombo vyote vya habari hapa nchini..inapaswa viwe na uzalendo kwa kupiga nyimbo zetu tu.. hii itasaidia hata wasanii waskopi flaver za Nigeria. American.. south Africa. na kote wanako kopi..tuupende music wetu kwakupiga nyimbo za wasanii wetu tu..radio .TV na blog zitangaze kazi zetu..mtu akitaka kujua matukio ya msanii wa ulaya au Nigeria angie kwenye mitandao.. nijalibu kuchunguza kwa wenzetu africa..wanapiga nyimbo za kwao tu..mfano Uganda. Kenya. Botswana.. Nigeria.. American ndio usiseme kabisa..hawamjui ht tunda man wala weusi..sisi hapa kwetu watangazaji wanapiga promo kana kwamba wamelipwa..wakipoga nyimbo wanamuongelea utafikili anakaa moro. Kumbe mtu yuko ulaya hajui ht tz kuna radio ngapi! Huu sio uzarendo bali ni ulimbukeni..wasani niwengi sana hapa nchini. Pls vyombo vya habari tz kuweni wazalendo kwakupenda Kazi zetu..we unafikili nikwanini wasanii wetu wanakopi sana? Na hapa kuna taarabu..boringo. tamaduni..gospel. mchiriku na baikoko..kama mdau mkubwa wa sanaa yetu hapa nchini..nawaomba watz wenzagu tubadilike. "
Share on Google Plus
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.